forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
639 B
Markdown
20 lines
639 B
Markdown
|
# Ninyi ni mashahidi
|
||
|
|
||
|
"Mnatakiwa kuwaambia wengine kwamba mliyoyaona kuhusu mimi ni kweli." Wanafunzi walikuwa wameyaona maisha ya Yesu, kufa kwake, kufufuka kwake, na waliweza kueleza kwa wengine kitu gani alifanya.
|
||
|
|
||
|
# Nawapelekea ahadi ya Baba yangu juu yenu
|
||
|
|
||
|
"Nitawapa kile ambacho Baba yangu aliahidi kuwapa." Yesu, Mungu Mwana, atatoa kile Mungu Baba alikiahidi kwa wafuasi wake wote, ambacho ni Mungu Roho Mtakatifu.
|
||
|
|
||
|
# Baba
|
||
|
|
||
|
Hiki ni cheo muhimu kwa Mungu
|
||
|
|
||
|
# mtakapovishwa nguvu
|
||
|
|
||
|
Nguvu ya Mungu itawafunika kwa namna ileile nguo inavyomfunika mtu. Tafsiri mbadala: "mnapokea nguvu."
|
||
|
|
||
|
# kutoka juu
|
||
|
|
||
|
"kutoka juu" au "kutoka kwa Mungu"
|