sw_tn/luk/24/41.md

337 B

bado na furaha iliyochanganyikana na kutokuamini

"bado hawakuweza kuamini kwamba ni ukweli kabisa." Walikuwa na furaha sana, lakini wakati huohuo, ilikuwa ngumu kwao kuamini kwamba ni kweli kabisa imetukia.

na kustaajabu

"na walishangazwa" au "na kustaajabu hili laweza kutokeaje"

mbele yao

"mbele yao" au "wakiwa wanatazama"