sw_tn/luk/24/41.md

12 lines
337 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# bado na furaha iliyochanganyikana na kutokuamini
"bado hawakuweza kuamini kwamba ni ukweli kabisa." Walikuwa na furaha sana, lakini wakati huohuo, ilikuwa ngumu kwao kuamini kwamba ni kweli kabisa imetukia.
# na kustaajabu
"na walishangazwa" au "na kustaajabu hili laweza kutokeaje"
# mbele yao
"mbele yao" au "wakiwa wanatazama"