sw_tn/luk/24/36.md

24 lines
508 B
Markdown

# Yesu mwenyewe
Neno "mwenyewe" linakazia juu ya Yesu na mshangao wa Yesu kiuhakika kuwatokea. Wengi wao walikuwa hawajamuona baada ya ufufuko wake.
# katikati yao
Tafsiri mbadala: "mahali ambapo wote wanaweza kumuona"
# Amani iwe kwenu
"Basi iweni na amani" au "Basi Mungu awape amani!"
# waliogopa na kujawa na hofu
"walishikwa na mshangao na kuogopa"
# wakafikiri kwamba waliona roho
Walikuwa hawajaelewa kiuhalisia kwamba Yesu kwelikweli yu hai.
# roho
Hapa inamaanisha roho ya mtu aliyekufa.