sw_tn/luk/24/36.md

508 B

Yesu mwenyewe

Neno "mwenyewe" linakazia juu ya Yesu na mshangao wa Yesu kiuhakika kuwatokea. Wengi wao walikuwa hawajamuona baada ya ufufuko wake.

katikati yao

Tafsiri mbadala: "mahali ambapo wote wanaweza kumuona"

Amani iwe kwenu

"Basi iweni na amani" au "Basi Mungu awape amani!"

waliogopa na kujawa na hofu

"walishikwa na mshangao na kuogopa"

wakafikiri kwamba waliona roho

Walikuwa hawajaelewa kiuhalisia kwamba Yesu kwelikweli yu hai.

roho

Hapa inamaanisha roho ya mtu aliyekufa.