sw_tn/luk/23/44.md

20 lines
454 B
Markdown

# ilikuwa karibu saa sita
"Ilipokaribi mchana" . Hii huonyesha desturi ambayo watu huanza kuhesabu saa kuanzia saa 12 asubuhi.
# giza likaja juu ya ardhi yote
"ardhi yote ikawa giza"
# hadi saa tisa
"Hadi 9 Mchana" Hii huonyesha desturi ambayo watu huanza kuhesabu saa kuanzia saa 12 asubuhi.
# pazia la hekalu
"Pazia ndani ya Hekalu"
# likagawanyika katikati
"ilichanika vipande viwili" . "Mungu alichana pazia la hekalu katika vipande viwili"