sw_tn/luk/23/44.md

454 B

ilikuwa karibu saa sita

"Ilipokaribi mchana" . Hii huonyesha desturi ambayo watu huanza kuhesabu saa kuanzia saa 12 asubuhi.

giza likaja juu ya ardhi yote

"ardhi yote ikawa giza"

hadi saa tisa

"Hadi 9 Mchana" Hii huonyesha desturi ambayo watu huanza kuhesabu saa kuanzia saa 12 asubuhi.

pazia la hekalu

"Pazia ndani ya Hekalu"

likagawanyika katikati

"ilichanika vipande viwili" . "Mungu alichana pazia la hekalu katika vipande viwili"