sw_tn/luk/23/33.md

36 lines
836 B
Markdown

# walipofika
Neno "walipofika" inajumuisha maaskari, wahalifu na Yesu.
# wakamsulunisha
"maaskari wakamsulubisha Yesu"
# mmoja upande wa kulia
"mmoja wa wahalifu aliwekwa upande wa kulia wa Yesu"
# na mwingine upande wa kushoto
" na muhalifu mwingine aliwekwa upande wa kushoto mwa Yesu"
# Baba, uwasamehe wao
Neno "wao" inamaanisha wale wanao msulubisha Yesu. Yesu aliongea kwa huruma na Baba yake juu ya wanaume waliokuwa wanamsulubisha"
# Baba
Hii ni cheo muhimu kwa Mungu
# kwa kuwa hawajui watendalo
"kwasababu hawajui kile wanachokifanya". Maaskari hawakujua kuwa wanamsulubisha Mwana wa Mungu. Kwasababu hakika hawamjui ni nani wanayemsulubisha"
# wakapiga kura
Maaskari walifanya aina ya kamari "walifanya kamari"
# kugawa mavazi yake
"kuamua nani kati ya maaskari atapeleka nyumbani sehemu ya mavazi ya Yesu"