# walipofika Neno "walipofika" inajumuisha maaskari, wahalifu na Yesu. # wakamsulunisha "maaskari wakamsulubisha Yesu" # mmoja upande wa kulia "mmoja wa wahalifu aliwekwa upande wa kulia wa Yesu" # na mwingine upande wa kushoto " na muhalifu mwingine aliwekwa upande wa kushoto mwa Yesu" # Baba, uwasamehe wao Neno "wao" inamaanisha wale wanao msulubisha Yesu. Yesu aliongea kwa huruma na Baba yake juu ya wanaume waliokuwa wanamsulubisha" # Baba Hii ni cheo muhimu kwa Mungu # kwa kuwa hawajui watendalo "kwasababu hawajui kile wanachokifanya". Maaskari hawakujua kuwa wanamsulubisha Mwana wa Mungu. Kwasababu hakika hawamjui ni nani wanayemsulubisha" # wakapiga kura Maaskari walifanya aina ya kamari "walifanya kamari" # kugawa mavazi yake "kuamua nani kati ya maaskari atapeleka nyumbani sehemu ya mavazi ya Yesu"