sw_tn/luk/23/01.md

20 lines
309 B
Markdown

# Mkutano wote
"Viongozi wote wa Kiyahudi"
# wakasimama
"kusimama" au "kusimama kwa miguu yao"
# mbele ya Pilato
"kuwa mbele ya Pilato". Kusimama kwa kumuangalia Pilato"
# akipotosha taifa letu
"kusababisha ghasia kwa kuelezea uongo kwa watu"
# kwa kukataza tusitoe kodi
"kwa kuwaambia wasitoe kodi"