sw_tn/luk/23/01.md

309 B

Mkutano wote

"Viongozi wote wa Kiyahudi"

wakasimama

"kusimama" au "kusimama kwa miguu yao"

mbele ya Pilato

"kuwa mbele ya Pilato". Kusimama kwa kumuangalia Pilato"

akipotosha taifa letu

"kusababisha ghasia kwa kuelezea uongo kwa watu"

kwa kukataza tusitoe kodi

"kwa kuwaambia wasitoe kodi"