sw_tn/luk/22/56.md

525 B

akamtazama akamwambia

"akamtazama moja kwa moja Petro na kusema na watu wengine pale uwandani"

Huyu mtu pia alikuwa pamoja naye

Mwanamke alikuwa anawaambia watu kuhusu Petro kuwa na Yesu. Inawezekana kwamba hakulijua jina la Petro.

Lakini Petro akakana

"Lakini Petro akasema haikuwa kweli"

Mwanamke, mimi simjui

Petro hakulijua jina la yule mwanamke. Hivyo alikuwa hamtukani kwa kumuita "mwanamke".

Mwanaume, mimi siyo

Petro hakulijua jina la yule mwanaume. Hivyo alikuwa hamtukani kwa kumuita "mwanaume".