# akamtazama akamwambia "akamtazama moja kwa moja Petro na kusema na watu wengine pale uwandani" # Huyu mtu pia alikuwa pamoja naye Mwanamke alikuwa anawaambia watu kuhusu Petro kuwa na Yesu. Inawezekana kwamba hakulijua jina la Petro. # Lakini Petro akakana "Lakini Petro akasema haikuwa kweli" # Mwanamke, mimi simjui Petro hakulijua jina la yule mwanamke. Hivyo alikuwa hamtukani kwa kumuita "mwanamke". # Mwanaume, mimi siyo Petro hakulijua jina la yule mwanaume. Hivyo alikuwa hamtukani kwa kumuita "mwanaume".