sw_tn/luk/22/41.md

841 B

mrusho wa jiwe

"kama umbali wa mtu kurusha jiwe." Tafsiri mbadala: "umbali mfupi" au kwa kipimo cha kukadilia kama "umbali wa mita 30"

Baba, kama unataka

Yesu atabeba adhabu ya dhambi zote katika historia ya mwanadamu kwa adhabu ya msalabani. Anaomba kwa Baba yake akimuuliza kama kuna njia nyingine.

Baba

Hiki ni cheo muhimu kwa Mungu

niondolee kikombe hiki

Yesu anamaanisha juu ya mateso ambayo yuko karibu kuyapitia kana kwamba yalikuwa ndani ya kikombe na kwamba alikuwa anakwenda kukinywa. Tafsiri mbadala: "niondolee hiki kikombe cha mateso" au "niondolee haya mateso" au "niokoe kutoka katika kuteseka kwa namna hii."

Lakini si kama nitakavyo mimi, lakini mapenzi yako yafanyike."

Tafsiri mbadala: "Hata hivyo, nataka kufanya yale ambayo ni sawasawa na mapenzi yako kuliko yale ambayo ni sawasawa na mapenzi yangu.