sw_tn/luk/22/41.md

20 lines
841 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# mrusho wa jiwe
"kama umbali wa mtu kurusha jiwe." Tafsiri mbadala: "umbali mfupi" au kwa kipimo cha kukadilia kama "umbali wa mita 30"
# Baba, kama unataka
Yesu atabeba adhabu ya dhambi zote katika historia ya mwanadamu kwa adhabu ya msalabani. Anaomba kwa Baba yake akimuuliza kama kuna njia nyingine.
# Baba
Hiki ni cheo muhimu kwa Mungu
# niondolee kikombe hiki
Yesu anamaanisha juu ya mateso ambayo yuko karibu kuyapitia kana kwamba yalikuwa ndani ya kikombe na kwamba alikuwa anakwenda kukinywa. Tafsiri mbadala: "niondolee hiki kikombe cha mateso" au "niondolee haya mateso" au "niokoe kutoka katika kuteseka kwa namna hii."
# Lakini si kama nitakavyo mimi, lakini mapenzi yako yafanyike."
Tafsiri mbadala: "Hata hivyo, nataka kufanya yale ambayo ni sawasawa na mapenzi yako kuliko yale ambayo ni sawasawa na mapenzi yangu.