sw_tn/luk/22/35.md

28 lines
831 B
Markdown

# Nilipowapeleka ninyi
Yesu alikuwa akiongelea kuhusu mitume wake.
# mfuko
Mfuko ni begi la kuwekea fedha. Hapa inatumika kumaanisha "fedha."
# kikapu cha vyakula
Tafsiri mbadala: "Begi la msafiri" au "chakula"
# Je mlipungukiwa na kitu? Wakajibu, "Hapana."
Yesu anatumia swali kuwasaidia mitume kukumbuka namna ambavyo watu waliwahudumia vizuri walipokuwa wakisafiri. Tafsiri mbadala: Wakati ule...bado mlikuwa na kila kitu mlichokihitaji.' Na wanafunzi walikubali wakasema 'Ndiyo, tulikuwa na kila kitu tulichokihitaji."
# Hakuna
"Hatukupungukiwa na kitu" au "Tulikuwa na kila kitu tulichokihitaji"
# Yule ambaye hana upanga, imempasa auze joho lake.
Yesu alikuwa hamaanishi mtu falani kipekee ambaye hakuwa na upanga. Tafsiri mbadala:"Kama mtu hana upanga, anapaswa kuuza joho lake."
# joho
"koti" au "nguo ya nje"