sw_tn/luk/22/35.md

831 B

Nilipowapeleka ninyi

Yesu alikuwa akiongelea kuhusu mitume wake.

mfuko

Mfuko ni begi la kuwekea fedha. Hapa inatumika kumaanisha "fedha."

kikapu cha vyakula

Tafsiri mbadala: "Begi la msafiri" au "chakula"

Je mlipungukiwa na kitu? Wakajibu, "Hapana."

Yesu anatumia swali kuwasaidia mitume kukumbuka namna ambavyo watu waliwahudumia vizuri walipokuwa wakisafiri. Tafsiri mbadala: Wakati ule...bado mlikuwa na kila kitu mlichokihitaji.' Na wanafunzi walikubali wakasema 'Ndiyo, tulikuwa na kila kitu tulichokihitaji."

Hakuna

"Hatukupungukiwa na kitu" au "Tulikuwa na kila kitu tulichokihitaji"

Yule ambaye hana upanga, imempasa auze joho lake.

Yesu alikuwa hamaanishi mtu falani kipekee ambaye hakuwa na upanga. Tafsiri mbadala:"Kama mtu hana upanga, anapaswa kuuza joho lake."

joho

"koti" au "nguo ya nje"