sw_tn/luk/22/26.md

1.1 KiB

haitakiwi kuwa hivi kwenu ninyi

"msifanye kama hivyo"

mdogo kabisa

Viongozi walikuwa mara nyingi watu wazima na waliitwa "wazee," "vijana wadogo" walikuwa na uwezekano mdogo wa kuongoza. Tafsiri mbadala: "enye umuhimu wa mwisho"

Kwa

Hii inaunganisha amri ya Yesu mstari wa 26 na mstari mzima wa 27. Inamaanisha kwamba mtu wa muhimu zaidi anatakiwa kutumika kwa sababu Yesu ni mtumishi.

yule anayetumika

"yule anayehudumia chakula" au "yule anayewahudumia waliokaa." Hii inamaanisha mtumishi.

yupi mkubwa....tumika?

"nani aliye wa muhimu....atumike?" Yesu anatumia swali kutambulisha jibu lake kwa swali la mitume kuhusu ukubwa. Tafsiri mbadala: "Nataka ninyi mfikiri kuhusu nani aliye mkubwa...atumike."

yule aketie mezani

"yule anayekula chakula"

si yule aketiye mezani?

Yesu anatumia swali jingine kuwafundisha wanafunzi. Tafsiri mbadala: "Bila shaka yule aketie mezani ni wa muhimu zaidi kuliko mtumishi!"

Na mimi bado ni kati yenu kama atumikaye

"Bado nawatumikia." Neno "bado" liko hapa kwasababu kunautofautishaji kati ya kile ambacho watu wangetegemea Yesu kuwa na kile ambacho kweli yuko.