sw_tn/luk/22/26.md

32 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# haitakiwi kuwa hivi kwenu ninyi
"msifanye kama hivyo"
# mdogo kabisa
Viongozi walikuwa mara nyingi watu wazima na waliitwa "wazee," "vijana wadogo" walikuwa na uwezekano mdogo wa kuongoza. Tafsiri mbadala: "enye umuhimu wa mwisho"
# Kwa
Hii inaunganisha amri ya Yesu mstari wa 26 na mstari mzima wa 27. Inamaanisha kwamba mtu wa muhimu zaidi anatakiwa kutumika kwa sababu Yesu ni mtumishi.
# yule anayetumika
"yule anayehudumia chakula" au "yule anayewahudumia waliokaa." Hii inamaanisha mtumishi.
# yupi mkubwa....tumika?
"nani aliye wa muhimu....atumike?" Yesu anatumia swali kutambulisha jibu lake kwa swali la mitume kuhusu ukubwa. Tafsiri mbadala: "Nataka ninyi mfikiri kuhusu nani aliye mkubwa...atumike."
# yule aketie mezani
"yule anayekula chakula"
# si yule aketiye mezani?
Yesu anatumia swali jingine kuwafundisha wanafunzi. Tafsiri mbadala: "Bila shaka yule aketie mezani ni wa muhimu zaidi kuliko mtumishi!"
# Na mimi bado ni kati yenu kama atumikaye
"Bado nawatumikia." Neno "bado" liko hapa kwasababu kunautofautishaji kati ya kile ambacho watu wangetegemea Yesu kuwa na kile ambacho kweli yuko.