forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
878 B
Markdown
24 lines
878 B
Markdown
# kutakuwa na adha kuu juu ya nchi
|
|
|
|
Yaweza kutafsiriwa kama 1) watu wakaao katika nchi watadhikika au 2) kutatokea maafa kabisa katika nchi.
|
|
|
|
# ghadhabu kwa watu hawa
|
|
|
|
"kutakuwa na ghadhabu kwa watu hawa." Tafsiri mbadala: "hawa watu watapata uzoefu wa hasira ya Mungu" au "God atakasirika sana na atawaadhibu watu hawa."
|
|
|
|
# wataanguka kwa ncha ya upanga
|
|
|
|
"watauwawa kwa ncha ya upanga." Tafsiri mbadala: "maaskari maadui watawauwa.
|
|
|
|
# watachukuliwa mateka kwa mataifa yote
|
|
|
|
Tafsiri mbadala: "Maadui zao watawakama na kuwapeleka nchi nyingine"
|
|
|
|
# Yerusalemu itakanyagwa na watu wa mataifa
|
|
|
|
Inaweza kutafsiriwa kama 1) watu wa Mataifa wataushinda Yerusalemu na kuukalia au 2) watu wa Mataifa watauharibu mji wa Yerusalemu au 3) watu wa Mataifa watawaharibu watu wa Yerusalemu.
|
|
|
|
# wakati wa watu wa Mataifa umekamilika
|
|
|
|
Tafsiri mbadala: "wakati wa watu wa Mataifa umefika mwisho"
|