sw_tn/luk/21/23.md

878 B

kutakuwa na adha kuu juu ya nchi

Yaweza kutafsiriwa kama 1) watu wakaao katika nchi watadhikika au 2) kutatokea maafa kabisa katika nchi.

ghadhabu kwa watu hawa

"kutakuwa na ghadhabu kwa watu hawa." Tafsiri mbadala: "hawa watu watapata uzoefu wa hasira ya Mungu" au "God atakasirika sana na atawaadhibu watu hawa."

wataanguka kwa ncha ya upanga

"watauwawa kwa ncha ya upanga." Tafsiri mbadala: "maaskari maadui watawauwa.

watachukuliwa mateka kwa mataifa yote

Tafsiri mbadala: "Maadui zao watawakama na kuwapeleka nchi nyingine"

Yerusalemu itakanyagwa na watu wa mataifa

Inaweza kutafsiriwa kama 1) watu wa Mataifa wataushinda Yerusalemu na kuukalia au 2) watu wa Mataifa watauharibu mji wa Yerusalemu au 3) watu wa Mataifa watawaharibu watu wa Yerusalemu.

wakati wa watu wa Mataifa umekamilika

Tafsiri mbadala: "wakati wa watu wa Mataifa umefika mwisho"