sw_tn/luk/20/45.md

28 lines
806 B
Markdown

# Maelezo yanayounganisha
Sasa Yesu alikuwa anaelekeza umakini wake kwa wanafunzi wake na kuzungumza nao.
# Jihadharini na
Kujihadhari navyo
# Ambao hupenda kupita wamevaa mavazi marefu
Mavazi marefu yanaonyesha kuwa walikuwa wa muhimu. walipenda kupitapita wakiwa wamevaa nguo zao za muhimu"
# Ambao Pia hula nyumba za wajane
"Pia wanakula kwenye nyumba za wajane" "Pia wanachukua kile kinachomilikiwa na wajane"
# Wanajifanya wanasali sala ndefu
"wanajifanya kuwa ni wenye haki na huomba maombi marefu" au "huomba maombi maraefu ili watu wawaone"
# Kujifanya
hii inamaanisha Mafarisayo walifanya mambo yaliyowafanya waonekane wana umuhimu na wenye haki kuliko walivyo kiuhalisia.
# Hawa watapokea adhabu kubwa.
"Watapokea adhabu kubwa kuliko wengine" au "Mungu atawaadhibu zaidi ya wengine"