sw_tn/luk/20/45.md

806 B

Maelezo yanayounganisha

Sasa Yesu alikuwa anaelekeza umakini wake kwa wanafunzi wake na kuzungumza nao.

Jihadharini na

Kujihadhari navyo

Ambao hupenda kupita wamevaa mavazi marefu

Mavazi marefu yanaonyesha kuwa walikuwa wa muhimu. walipenda kupitapita wakiwa wamevaa nguo zao za muhimu"

Ambao Pia hula nyumba za wajane

"Pia wanakula kwenye nyumba za wajane" "Pia wanachukua kile kinachomilikiwa na wajane"

Wanajifanya wanasali sala ndefu

"wanajifanya kuwa ni wenye haki na huomba maombi marefu" au "huomba maombi maraefu ili watu wawaone"

Kujifanya

hii inamaanisha Mafarisayo walifanya mambo yaliyowafanya waonekane wana umuhimu na wenye haki kuliko walivyo kiuhalisia.

Hawa watapokea adhabu kubwa.

"Watapokea adhabu kubwa kuliko wengine" au "Mungu atawaadhibu zaidi ya wengine"