sw_tn/luk/20/41.md

32 lines
983 B
Markdown

# Taarifa ya jumla
Yesu aliwauliza Mafarisayo swali.
# "Kwa nini wanasema.... mwanangu"?
Yesu alitumia swali kuwafanya mafarisayo wafikiri alichokuwa anakisema. "Tuwafikirie walivyosema... mwanangu" au "Nitaongea kuhusu wao wakisema... mwanangu"
# Mwana wa Daudi.
"Kizazi cha Mfalme Daudi" Neno "mwana" limetumika kuelezea kizazi. Kwa sababu hii inamuelezea atakayetawala juu ya ufalme wa Mungu.
# Bwana akasema kwa Bwana wangu
Hii imenukuliwa kutoka katika kitabu cha zaburi inasema "Yaweh" na mara nyingine inasema "Bwana" "Bwana Mungu akasema kwa Bwana wangu" au "Mungu akasema kwa Bwana wangu"
# Bwana wangu
Daudi alikuwa akimuelezea Kristo kama "Bwana wake"
# Mkono wangu wa kulia
upande wa kulia ni sehemu ya heshima. Mungu alimuheshimu Mesiya kwa kusema "keti upende wangu wa kulia"
# Mpaka nitakapowaweka adui zako chini yako
Mpaka nitakapowashinda adui zako
# Amekuwaje mwana wa Daudi?
"Imekuwaje Kristo akaawa mwana wa Daudi" "hii inaonyesha kuwa Kristo sio