sw_tn/luk/20/39.md

8 lines
349 B
Markdown

# Baadhi ya mafarisayo wakajibu
"Baadhi ya mafarisayo wakamwambia Yesu." walikuwepo mafarisayo wakati Masadikayo walipokuwa wakimuuliza Yesu maswali.
# Hawakuthubutu kumuuliza
"waliogopa kumuuliza" au hawakujitoa kumuuliza." hawakuendelea kumuuliza maswali ya mitego maana waliogopa majibu yake yenye hekima yatawafanya waonekane wajinga tena."