sw_tn/luk/20/39.md

349 B

Baadhi ya mafarisayo wakajibu

"Baadhi ya mafarisayo wakamwambia Yesu." walikuwepo mafarisayo wakati Masadikayo walipokuwa wakimuuliza Yesu maswali.

Hawakuthubutu kumuuliza

"waliogopa kumuuliza" au hawakujitoa kumuuliza." hawakuendelea kumuuliza maswali ya mitego maana waliogopa majibu yake yenye hekima yatawafanya waonekane wajinga tena."