sw_tn/luk/20/23.md

16 lines
364 B
Markdown

# Yesu alielewa mtego wao
"lakini Yesu alitambua mtego wao ulivyokuwa" au " lakini Yesu alione kuwa walikuwa wanajaribu wanamtega" neno "wao" linamaanisha wapelelezi"
# Dinari
Hii ni sarafu ya Kirumi yenye thamani ya mshahara wa siku.
# Ni sura na chapa ya nani ipo juu yake
Yesu alitumia swali kuwajibu waliokuwa wanamtega.
# Sura na chapa
"picha na jina"