sw_tn/luk/20/23.md

364 B

Yesu alielewa mtego wao

"lakini Yesu alitambua mtego wao ulivyokuwa" au " lakini Yesu alione kuwa walikuwa wanajaribu wanamtega" neno "wao" linamaanisha wapelelezi"

Dinari

Hii ni sarafu ya Kirumi yenye thamani ya mshahara wa siku.

Ni sura na chapa ya nani ipo juu yake

Yesu alitumia swali kuwajibu waliokuwa wanamtega.

Sura na chapa

"picha na jina"