sw_tn/luk/19/43.md

1.0 KiB

Maelezo yanayounganisha

Yesu akaendelea kuongea.

Kwa

Kilichofuata ni sababu ya Yesu kuhuzunika.

Siku zinakuja juu yako

Hii inaonyesha kwamba wangepitia nyakati ngumu. Baadhi ya lugha hawaongelei juu ya wakati ujao. 'Katika siku zijazo mambo haya yatatokea kwako' au 'hivi karibuni utavumilia wakati mgumu.'

Wewe

neno 'wewe' ni umoja kwa sababu Yesu alikuwa akizungumza na mji. Lakini kama hii haitakuwa na uhalisia katika lugha yako, unaweza kutumia wingi wa "wewe" kwa kutaja watu wa mji.

Boma

Boma ni ukuta unaolinda watu wasitoke nje ya mji.

Watakuangusha chini kwenye ardhi

Kwa kuwa Yesu alikuwa akiongea na mji, hii inaelezea ukuta na wajenzi wa ukuta wa mji. "Wataharibu kuta zako" au "Wataharibu kuta zako."

Na watoto wako pamoja nawe

Hii inaelezea watu wanaoishi kwenye mji. "na watawaua watu wa kwenye mji."

Hawataacha jiwe moja juu ya lingine

Huu ni mfano unaoelezea namna ambavyo maadui wataharibu kabisa mji uliojengwa kwa mawe. "Hawataacha jiwe lolote kwenye eneo hilo."

Haukulitambua hilo

"haukulijua"