|
# Maelezo yanayounganisha
|
|
|
|
Huu ni mwisho wa simulizi kuhusu Zakaria. Mstari huu unaelezea aliyoyafanya Yesu baada ya simulizi hii.
|
|
|
|
# Alipomaliza kusema maneno haya
|
|
|
|
"Yesu alipomaliza kusema maneno haya"
|
|
|
|
# Kwenda Yerusalemu
|
|
|
|
Yerusalemu ilikuwa kama mita 975 juu ya Yeriko.
|