sw_tn/luk/19/28.md

274 B

Maelezo yanayounganisha

Huu ni mwisho wa simulizi kuhusu Zakaria. Mstari huu unaelezea aliyoyafanya Yesu baada ya simulizi hii.

Alipomaliza kusema maneno haya

"Yesu alipomaliza kusema maneno haya"

Kwenda Yerusalemu

Yerusalemu ilikuwa kama mita 975 juu ya Yeriko.