sw_tn/luk/19/26.md

673 B

Taarifa ya jumla

Yesu amemaliza kuwaambia mfano wake na sasa anatoa mawazo juu ya makutano nyumbani kwa Zakayo.

Nawaambia

Hii ilikuwa kauli ya mfalme. Watafsiri wengine wanaweza kutaka kuanza mstari huu kwa kusema "Na mfalme akajibu, 'Nawaambia ninyi" au Lakini mfalme akasema, Namwaambia hivi"

Kila aliyenacho

"kila mtu atakayetumia vizuri alichopewa" au "kila mtu atakayetumia vizuri vitu nilivyompa"

Atapewa zaidi

"Ntampa zaidi"

Toka kwake ambaye hana

"Toka kwa mtu ambaye hatumii vizuri kile nilichompa"

Kitaondolewa

"Nitakichukua kutoka kwake"

Hawa adui zangu

Kwa kuwa adui zake hawakuwepo pale, lugha nyingine zawezasema "wale adui zangu."