sw_tn/luk/19/26.md

28 lines
673 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla
Yesu amemaliza kuwaambia mfano wake na sasa anatoa mawazo juu ya makutano nyumbani kwa Zakayo.
# Nawaambia
Hii ilikuwa kauli ya mfalme. Watafsiri wengine wanaweza kutaka kuanza mstari huu kwa kusema "Na mfalme akajibu, 'Nawaambia ninyi" au Lakini mfalme akasema, Namwaambia hivi"
# Kila aliyenacho
"kila mtu atakayetumia vizuri alichopewa" au "kila mtu atakayetumia vizuri vitu nilivyompa"
# Atapewa zaidi
"Ntampa zaidi"
# Toka kwake ambaye hana
"Toka kwa mtu ambaye hatumii vizuri kile nilichompa"
# Kitaondolewa
"Nitakichukua kutoka kwake"
# Hawa adui zangu
Kwa kuwa adui zake hawakuwepo pale, lugha nyingine zawezasema "wale adui zangu."