sw_tn/luk/19/22.md

32 lines
836 B
Markdown

# Kwa maneno yako mwenyewe
"Kutokana na ulichokisema"
# Kwamba mimi ni mtu mbaya, nachukua
Afisa alirudia maneno aliyoyasema mtumishi juu yake. Hakusema kuwa ilikuwa kweli.
# Mtu mkali
"mtu mkorofi"
# Kwa nini hukuweka pesa yangu...... faida?
Afisa alitumia swali ili kumkemea Mtumishi dhalimu. "Ungeweka pesa yangu..... faida."
# Weka pesa yangu benki
"Kopesha pesa zangu benki" Tamaduni ambazo hazina benki zaweka kutafsiri kuwa "Acha mtu aazime pesa zangu."
# Benki
Benki ni biashara salama ya kuweka pesa za watu. Benki huwakopesha watu pesa kwa faida. Hivyo inalipa pesa ya ziada au faida kwa watu wanaoweka pesa zao benki.
# Nitakusanya na faida
"Ningekusanya kiasi hicho cha fedha pamoja na faida iliyopatikana" au "ningepata faida"
# Faida
Faida ni pesa ambayo benki humlipa mtu anayeweka pesa zake katika benki.