sw_tn/luk/19/22.md

836 B

Kwa maneno yako mwenyewe

"Kutokana na ulichokisema"

Kwamba mimi ni mtu mbaya, nachukua

Afisa alirudia maneno aliyoyasema mtumishi juu yake. Hakusema kuwa ilikuwa kweli.

Mtu mkali

"mtu mkorofi"

Kwa nini hukuweka pesa yangu...... faida?

Afisa alitumia swali ili kumkemea Mtumishi dhalimu. "Ungeweka pesa yangu..... faida."

Weka pesa yangu benki

"Kopesha pesa zangu benki" Tamaduni ambazo hazina benki zaweka kutafsiri kuwa "Acha mtu aazime pesa zangu."

Benki

Benki ni biashara salama ya kuweka pesa za watu. Benki huwakopesha watu pesa kwa faida. Hivyo inalipa pesa ya ziada au faida kwa watu wanaoweka pesa zao benki.

Nitakusanya na faida

"Ningekusanya kiasi hicho cha fedha pamoja na faida iliyopatikana" au "ningepata faida"

Faida

Faida ni pesa ambayo benki humlipa mtu anayeweka pesa zake katika benki.