sw_tn/luk/19/16.md

12 lines
230 B
Markdown

# Wa kwanza
"Mtumishi wa kwanza"
# Akaja mbele yake
"Akaja mbele ya Afisa"
# Umefanya vyema
"wewe umefanya vyema" Lugha yako inaweza kutafsiri kifungu hiki kwamba mwajiri anatumia kuonyesha kiridhika, kama vile "kazi nzuri."