# Wa kwanza "Mtumishi wa kwanza" # Akaja mbele yake "Akaja mbele ya Afisa" # Umefanya vyema "wewe umefanya vyema" Lugha yako inaweza kutafsiri kifungu hiki kwamba mwajiri anatumia kuonyesha kiridhika, kama vile "kazi nzuri."