sw_tn/luk/19/13.md

679 B

Aliwaita

Ofisa aliwaita

Akawapa mafungu kumi

"akawapa kila mtu fungu moja"

Mafungu kumi

Fungu ni gramu 600. kila fungu linathamani ya malipo ya miezi minne ya mtu, "Sarafu kumi" au "kiasi kikubwa cha pesa"

Fanya biashara

"fanya biashara na pesa hizi" au "tumia hizi pesa ili upate zaidi"

Wananchi wake

Watu wa nchi yake"

Mabalozi

"wawakilishi" au "wajumbe"

Ikawa

Neno hili limetumika kuonyesha umuhimu wa tukio kwenye simulizi. Kama lugha yako ina namna nyingine ya kufanya hivi unaweza ukaitumia hapa.

Baada ya kuupokea ufalme

"Baada ya kuwa Mfalme"

Waitwe kwake

"kwenda kwake"

Mmetengeneza faida kiasi gani

"ni pesa kiasi gani waliipata"