sw_tn/luk/19/13.md

40 lines
679 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Aliwaita
Ofisa aliwaita
# Akawapa mafungu kumi
"akawapa kila mtu fungu moja"
# Mafungu kumi
Fungu ni gramu 600. kila fungu linathamani ya malipo ya miezi minne ya mtu, "Sarafu kumi" au "kiasi kikubwa cha pesa"
# Fanya biashara
"fanya biashara na pesa hizi" au "tumia hizi pesa ili upate zaidi"
# Wananchi wake
Watu wa nchi yake"
# Mabalozi
"wawakilishi" au "wajumbe"
# Ikawa
Neno hili limetumika kuonyesha umuhimu wa tukio kwenye simulizi. Kama lugha yako ina namna nyingine ya kufanya hivi unaweza ukaitumia hapa.
# Baada ya kuupokea ufalme
"Baada ya kuwa Mfalme"
# Waitwe kwake
"kwenda kwake"
# Mmetengeneza faida kiasi gani
"ni pesa kiasi gani waliipata"