sw_tn/luk/18/13.md

861 B

Maelezo yanayounganisha:

Yesu alimaliza kuwaambia mfano. kwenye mstari wa 14, alitoa maelezo kuhusu maana ya mfano huo.

Akainua macho yake juu

"Akaangalia mbinguni" au "akaanalia mbele"

Akapiga kifua chake

Hii ni ishara ya nje ya masikitiko makuu, na kuonyesha namna huyu mtu anavyotubu na unyenyekevu.

Mungu nirehemu mimi, mwenye dhambi

Mungu nakuomba nirehemu mimi, japokuwa ni mtenda dhambi" Mungu, nakuomba unirehemu mimi. Ni mtenda dhambi"

Huyu mtu alirudi nyumbani akiwa amehesabiwa haki.

"Mungu alimsamehe yule mtoza ushuru"

Kuliko yule mwingine

"Kuliko yule mtu mwingine" au "na sio yule mtu mwingine." ' Lakini Mungu hakumsamehe Mfarisayo"

Kwa sabau kila mtu atakayejikweza

Kwenye sentensi hii, Yesu anahama kwenye simulizi na kutoa maelezo ya simulizi.

Atashushwa

"Mungu atamshusha"

Atakwezwa

"Mungu atampa heshima"