sw_tn/luk/18/13.md

36 lines
861 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo yanayounganisha:
Yesu alimaliza kuwaambia mfano. kwenye mstari wa 14, alitoa maelezo kuhusu maana ya mfano huo.
# Akainua macho yake juu
"Akaangalia mbinguni" au "akaanalia mbele"
# Akapiga kifua chake
Hii ni ishara ya nje ya masikitiko makuu, na kuonyesha namna huyu mtu anavyotubu na unyenyekevu.
# Mungu nirehemu mimi, mwenye dhambi
Mungu nakuomba nirehemu mimi, japokuwa ni mtenda dhambi" Mungu, nakuomba unirehemu mimi. Ni mtenda dhambi"
# Huyu mtu alirudi nyumbani akiwa amehesabiwa haki.
"Mungu alimsamehe yule mtoza ushuru"
# Kuliko yule mwingine
"Kuliko yule mtu mwingine" au "na sio yule mtu mwingine." ' Lakini Mungu hakumsamehe Mfarisayo"
# Kwa sabau kila mtu atakayejikweza
Kwenye sentensi hii, Yesu anahama kwenye simulizi na kutoa maelezo ya simulizi.
# Atashushwa
"Mungu atamshusha"
# Atakwezwa
"Mungu atampa heshima"