forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
581 B
Markdown
12 lines
581 B
Markdown
# Mkumbuke mke wa Lutu
|
|
|
|
"Kumbuka kile kilichotokea kwa mke wa Lutu!" Hili ni onyo. Yeye aligeuka na kuangalia Sodoma na Mungu akamuadhibu pamoja na watu wa Sodoma. "Msifanye kile mke wa Lutu alichokifanya"
|
|
|
|
# Ye yote anaejaribu kuyaokoa maisha yake atayapoteza
|
|
|
|
"Watu ambao hujaribu kuokoa maisha yao watayapoteza" au "Yeyote anajaribu kuokoa njia yake za zamani za maisha atapoteza maisha yake"
|
|
|
|
# lakini ye yote atakayeyapoteza maisha yake atayaokoa.
|
|
|
|
"lakini watu ambao kupoteza maisha yao atawalinda" au "lakini mwenye kukataa njia yake ya zamani ya maisha kuokoa maisha yake"
|