sw_tn/luk/17/32.md

581 B

Mkumbuke mke wa Lutu

"Kumbuka kile kilichotokea kwa mke wa Lutu!" Hili ni onyo. Yeye aligeuka na kuangalia Sodoma na Mungu akamuadhibu pamoja na watu wa Sodoma. "Msifanye kile mke wa Lutu alichokifanya"

Ye yote anaejaribu kuyaokoa maisha yake atayapoteza

"Watu ambao hujaribu kuokoa maisha yao watayapoteza" au "Yeyote anajaribu kuokoa njia yake za zamani za maisha atapoteza maisha yake"

lakini ye yote atakayeyapoteza maisha yake atayaokoa.

"lakini watu ambao kupoteza maisha yao atawalinda" au "lakini mwenye kukataa njia yake ya zamani ya maisha kuokoa maisha yake"