sw_tn/luk/17/14.md

840 B

mkajionyeshe kwa makuhani

wenye ukoma walikuwa wanatakiwa kuthibitishwa na makuhani kwamba ukoma wao umepona. "jionyesheni wenyewe kwa makuhani ili waweze kuwachunguza"

Na ikawa kwamba

maneno haya yametumika hapa kuonyesha mwanzo wa sehemu mpya ya hadithi. Kama lugha yako ina njia kwa ajili ya kufanya hii, unaweza kufikiria kutumia hapa.

wakatakasika

Wakati watu waliponywa, wao hawakuwa tena najisi. Hii inaweza kufanywa wazi. "wakawa safi wakati walipo ponywa ukoma wao" au "walikuwa wametibiwa ukoma wao"

alipoona kwamba ameponywa

"kuona kwamba ameponywa" au "alitambua kwamba Yesu aliyemponya"

akarudi

"alirudi Yesu"

kwa sauti kubwa akimtukuza Mungu

"nakumtukuza Mungu kwa sauti kubwa"

Akainama miguuni pa Yesu

"akapiga magoti na kuweka uso wake karibu na miguu ya Yesu." Alifanya hivi kwa kumheshimu Yesu.