sw_tn/luk/17/11.md

1.2 KiB

Habari kwa ujumla:

Hii ni sehemu ya pili ya hadithi. Yesu anaponya watu 10 wa ukoma. Mstari wa 11 na 12 unatoa taarifa za msingi na mazingira ya hadithi.

Ikawa kwamba

maneno haya yametumika hapa kuonyesha mwanzo wa sehemu mpya ya hadithi. Kama lugha yako ina njia kwa ajili ya kufanya hii, unaweza kufikiria kutumia hapa.

na walipokua njiani kuelekea Yerusalemu

"kama Yesu na wanafunzi walipokuwa wakisafiri kwenda Yerusalemu"

huko alikutana na watu kumi wenye ukoma

Hii inaweza semwa kama. "watu kumi wenye ukoma walikutana naye" au "watu kumi waliokuwa na ukoma walikutana naye"

wakapaza sauti zao

kauli hii ina maana kusema kwa sauti kubwa. "wakamwita kwa sauti kubwa" au "wao kuita kwa sauti"

Bwana

neno lililotafsiriwa hapa kama "Bwana" siyo neno la kawaida kwa "Bwana." Hii moja inahusu mtu ambaye ana mamlaka, na si kwa mtu ambaye anamiliki mtu mwingine.

utuhurumie

Walikuwa hasa wanaomba kuponywa. "tafadhali tuonyeshe huruma na utuponye"

alipokuwa akisafiri kwenda Yerusalemu

"kama Yesu na wanafunzi walikuwa wakisafiri kwenda Yerusalemu"

kijiji kimoja

maneno haya haya elezei hicho kijiji.

Nao wakasimama mbali mbali na yeye

Hii ilikuwa ishara ya heshima , kwa sababu wenye ukoma hawakuruhusiwa kukaribia watu wengine.