forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
965 B
Markdown
28 lines
965 B
Markdown
# Lakini ni nani katika yenu, ambaye ana mtumishi
|
|
|
|
Yesu anauliza kundi kuhukumu hali fulani na mtumishi.
|
|
|
|
# mtumishi anaelima au kutunza kondoo
|
|
|
|
"mtumishi anaelima shamba lako au analinda kondoo wako"
|
|
|
|
# Je hatambiambia
|
|
|
|
Yesu anatumia swali kuwafundisha wanafunzi.
|
|
|
|
# jifunge mkanda na unitumikie
|
|
|
|
"funga nguo yako katika kiuno chako na unitumikie mimi" au "vaa vizuri kisha unitumikie." Watu hufunga nguo zao karibu na viuno vyao ili nguo zao wakati wa kazi zisiwasumbue.
|
|
|
|
# Kisha baada ya hayo
|
|
|
|
"Kisha baada ya kunitumikia"
|
|
|
|
# Lakini ni nani kati yenu ... atamwambiya ... kaa chini kula '?
|
|
|
|
Yesu anauliza wanafunzi wake swali kuwasaidia kufikiri juu ya jukumu la mtumishi. Hii inaweza kuwa kauli. "Lakini mtu yeyote kati yenu ... siwezi kusema kwake ... kaa chini kula '"
|
|
|
|
# Je, yeye hatamwambia ... kula na kunywa?
|
|
|
|
Yesu anatumia swali la pili kueleza jinsi wafuasi wangewa fanyia watumishi. Hii inaweza kuwa kauli. "Naye hakika humwambia ... kula na kunywa '"
|