sw_tn/luk/17/07.md

965 B

Lakini ni nani katika yenu, ambaye ana mtumishi

Yesu anauliza kundi kuhukumu hali fulani na mtumishi.

mtumishi anaelima au kutunza kondoo

"mtumishi anaelima shamba lako au analinda kondoo wako"

Je hatambiambia

Yesu anatumia swali kuwafundisha wanafunzi.

jifunge mkanda na unitumikie

"funga nguo yako katika kiuno chako na unitumikie mimi" au "vaa vizuri kisha unitumikie." Watu hufunga nguo zao karibu na viuno vyao ili nguo zao wakati wa kazi zisiwasumbue.

Kisha baada ya hayo

"Kisha baada ya kunitumikia"

Lakini ni nani kati yenu ... atamwambiya ... kaa chini kula '?

Yesu anauliza wanafunzi wake swali kuwasaidia kufikiri juu ya jukumu la mtumishi. Hii inaweza kuwa kauli. "Lakini mtu yeyote kati yenu ... siwezi kusema kwake ... kaa chini kula '"

Je, yeye hatamwambia ... kula na kunywa?

Yesu anatumia swali la pili kueleza jinsi wafuasi wangewa fanyia watumishi. Hii inaweza kuwa kauli. "Naye hakika humwambia ... kula na kunywa '"