sw_tn/luk/16/24.md

28 lines
647 B
Markdown

# Naye akasema kwa sauti
"na tajiri aliita na kusema" au "alipiga kelele kwa Ibrahimu"
# Baba Ibrahimu
Ibrahimu alikuwa babu wa Wayahudi wote, ikiwa ni pamoja na mtu mmoja tajiri.
# nihurumie
"tafadhali nihurumie" au "tafadhali uniwie radhi mimi"
# umtume Lazaro
"kwa kumtuma Lazaro" au "na kuwaambia Lazaro kuja kwangu"
# achovye ncha ya kidole chake
Hii inaonyesha udogo wa kiasi alichoomba. "aweze kuloanisha ncha ya kidole chake"
# Niko kwenye mateso katika moto huu
"Niko kwenye mateso katika moto huu " au "Mimi naumia sana katika moto huu"
# alipiga kelele na kusema
"tajiri alilia kwa kusema" au "alipiga kelele kwa Ibrahimu"