sw_tn/luk/16/24.md

647 B

Naye akasema kwa sauti

"na tajiri aliita na kusema" au "alipiga kelele kwa Ibrahimu"

Baba Ibrahimu

Ibrahimu alikuwa babu wa Wayahudi wote, ikiwa ni pamoja na mtu mmoja tajiri.

nihurumie

"tafadhali nihurumie" au "tafadhali uniwie radhi mimi"

umtume Lazaro

"kwa kumtuma Lazaro" au "na kuwaambia Lazaro kuja kwangu"

achovye ncha ya kidole chake

Hii inaonyesha udogo wa kiasi alichoomba. "aweze kuloanisha ncha ya kidole chake"

Niko kwenye mateso katika moto huu

"Niko kwenye mateso katika moto huu " au "Mimi naumia sana katika moto huu"

alipiga kelele na kusema

"tajiri alilia kwa kusema" au "alipiga kelele kwa Ibrahimu"