forked from WA-Catalog/sw_tn
40 lines
1.3 KiB
Markdown
40 lines
1.3 KiB
Markdown
# Kuunganisha kauli:
|
|
|
|
Wakati Yesu akiendelea kufundisha watu akaanza kuwaambia mfano. Ni kuhusu tajiri na Lazaro.
|
|
|
|
# Taarifa kuu:
|
|
|
|
Hii nistari inatoa taarifa kuhusu hadithi. Yesu anaanza kueleza kuhusu tajiri na Lazaro.
|
|
|
|
# ambaye alikuwa amevaa nguo ya zambarau na kitani safi
|
|
|
|
"ambao walivaa mavazi yaliyo tengenezwa na kitani safi" au "ambao walivaa nguo ghali sana." rangi ya zambarau na kitani safi zilikua nguo ghali sana.
|
|
|
|
# alikua akifurahia kila siku utajiri wake
|
|
|
|
"kufurahia kula chakula cha gharama kila siku" au "alitumia fedha nyingi na kununua chochote akitakacho"
|
|
|
|
# maskini mmoja jina lake Lazaro, aliwekwa mlangoni pake
|
|
|
|
Hii inaweza semwakama "Watu walikuwa wamemlaza maskini mmoja jina lake Lazaro kwenye lango lake"
|
|
|
|
# kwenye lango lake
|
|
|
|
"katika lango la nyumba ya tajiri" au "katika mlango wa kuingia kwenye mali ya tajiri"
|
|
|
|
# kufunikwa na vidonda
|
|
|
|
"na vidonda yote juu ya mwili wake"
|
|
|
|
# yeye alitamani sana kulishwa na kile kilichoanguka kutoka meza ya tajiri
|
|
|
|
Hii inaweza semwa kama: "alitamana tajiri ampe makombo ya chakula ambayo atayatuma"
|
|
|
|
# kando na hayo
|
|
|
|
hii inaonyesha kwamba kile kifuatavyo ni kibaya zaidi kuliko yale ambayo tayari yameelezwa kuhusu Lazaro. "katika nyiongez ya hayo" au "hata"
|
|
|
|
# Mbwa
|
|
|
|
Wayahudi huchukuliwa mbwa kuwa wanyama wasio safi. Lazaro ni mgonjwa sana na dhaifu hata kufukuza mbwa wasimlambe vidonda vyake.
|